Shamshamra zinaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mashabiki wa pande zote wanaonekana kuwa na shangwe na hii ni sehemu ya moja ya majukwaa ya Simba.
Shabiki huyu aliyejitambulisha kwa jina la Mwinyi Salim anaonekana akiwa ana uhakika wa ushindi leo.
0 COMMENTS:
Post a Comment