August 5, 2017Gwiji la Arsenal, Sol Campbell anatua jijini Dar es Salaam leo Alasiri na tayari mashabiki kadhaa wametua Keenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kumpokea.

Mashabiki hao wameonyesha kuwa na bashaha wakitaka kumuona Campbell aliyeiwezesha Arsenal kubeba vikombe enzi zake akiwa beki kisiki.


Campbell raia wa Uingereza analetwa nchini na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV