August 2, 2017


Thomas Ulimwengu atakaa nje ya uwanja hadi Januari, mwakani.

Hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na mshambulizi huyu wa AFC ya Sweden, tayari ameanza kupata nafuu.

Allah amsaidie apone haraka, arejee kazini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV