ZEGE HALILALI, WAMBURA AAPISHWA NAFASI YAKE YA MAKAMU WA RAIS Waswahili wanasema, “zege halilali” na ndiyo mambo yalivyokuwa Dodoma maana Michael Wambura ameshinda nafasi ya makamu rais wa TFF na baada ya hapo, tayari ameapishwa rasmi.
0 COMMENTS:
Post a Comment