KARIA RASMI NI RAIS WA TFF, DAKIKA CHACHE BAADA YA USHINDI, AMEAPISHWA DODOMA Wallace Karia amewabwaga wapinzani wake na kushinda nafasi ya rais wa TFF na baada ya hapo, tayari ameapishwa rasmi hapa mjini Dodoma.
0 COMMENTS:
Post a Comment