September 26, 2017


Gareth Barry aliyekuwa ameifikia rekodi ya Ryan Goggs kucheza mechi nyingi zaidi Ligi Kuu England, sasa ameivunja.

Barry ,36, ameivunja rekodi hiyo wakati akiichezea West Brom katika mechi ya EPL ilipolala kwa mabao 2-0 dhidi ya Arsenal iliyokuwa nyumbani Emirates.

Kocha Arsene Wenger, ametoa zawadi ya jezi ya Arsenal kwa Barry yenye namba 633 mgongoni ambayo ni idadi ya mechi za ligi hiyo alizocheza akiwa na timu tofauti.

Jezi hiyo imesainiwa na wachezaji wa Arsenal ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu kwake.


Barry, 36, made it 633 Premier League appearances after being handed a starting role against the Gunners for West Brom on Monday night. The former Aston Villa, Manchester City and Everton midfielder eclipsed the record of Ryan Giggs, although the Welshman made 672 top-flight appearances for Manchester United.  


WALIOCHEZA MECHI NYINGI:
Gareth Barry - 633
Ryan Giggs - 632
Frank Lampard - 609
David James - 572
Gary Speed - 535
Emile Heskey - 516
Mark Schwarzer - 514
Jamie Carragher - 508
Phil Neville - 505
Rio Ferdinand - 504

Steven Gerrard - 504

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic