September 28, 2017


Diego Costa ameanza kujifua wakati akisubiri kurejea dimbani na kujiunga kwa mara nyingine na kikosi cha Atletico Madrid.

Costa amerejea tena Atletico baada ya kuamua kuachana na Chelsea.

Wakati akijifua, watu wamekuwa wakipanga foleni katika baadhi ya maduka ya Atletico Madrid ili kununua jezi yake ili kuonyesha furaha ya kumpokea mara nyingine tena.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic