September 28, 2017

ANCELOTTI BAADA YA KUTIMULIWA KAZI, LEO.

Kipigp cha mabao 3-0 kutoka kwa PSG, kimemponza kocha Carlo Ancelotti, ametimuliwa kazi Bayern Munich.


PSG iliitwanga Bayern kwa mabao 3-0, Neymar, Dani Alves na Cavani kila mmoja akipachika bao.


Aliyekuwa msaidizi wake, Willy Sagnol ndiye atakuwa kocha wa Bayern Munich kwa muda.


Bayern chini yake, ilionekana kutokuwa na mwendo mzuri sana ingawa iliendelea kushinda mechi kadhaa mfululizo. Hata hivyo katika msimu huu, mwendo wa Bayern haukuwa mbaya ingawa uongozi ulionekana kutofurahishwa na aina ya uchezaji.

CHINI YA ANCELOTTI KWA MSIMU WA 2017-18
Dortmund 2-2 Bayern Munich (Super Cup)
Chemnitzer 0-5 Bayern Munich (German Cup)
Bayern Munich 3-1 Bayer (Bundesliga)
Werder Bremen 0-2 Bayern Munich (Bundesliga)
Bayern Munich 3-0 Anderlecht (Champions League)
Bayern Munich 4-0 Mainz (Bundesliga)
Bayern Munich 2-2 Wolfsburg (Bundesliga)
PSG 3-0 Bayern Munich (Champions League

1 COMMENTS:

  1. Neymar est un footballeur professionnel brésilien qui joue comme attaquant pour le club français du Paris Saint-Germain et l'équipe nationale du Brésil.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic