September 1, 2017


Everton inayodhaminiwa na SportPesa imefanikiwa kuongeza nguvu katika kikosi chake baada ya kumsajili mchezaji wa kimataifa wa Croatia airway Nikola Vlasic.

Viasic ametokea katika kikosi cha Hadjuk na amesaini mkataba wa miaka mitano kwa pauni million 8.

Kiraka huyo ambaye ni kinda wa umri wa miaka 19 amejiunga na kikosi cha Kocha Ronald Koeman kinachoendelea kujipanga kufanya vizuri Ligi Kuu England na pia Europa League.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic