September 1, 2017



Mbappe amekamilisha uhamisho wake wa kwenda peg kwa mkopo akitokea Monaco.


Mbappe aliyefunga mabao 26 msimu uliopita, tayari anaungana na PSG ambayo imeamua kutengeneza kikosi bora kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Baada ya hapo, kitakachofuata ni kumalizana baada ya kwisha kwa msimu ili kumnunnua kwa ya pauni milioni 168.

PSG tayari wanaye Neymar, Ednson Cavani na Angel Di Maria na wanaonekana wamepania kufanya mabadiliko hasa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic