September 15, 2017



Leo wamefanikiwa kuingia mkataba na Bakharesa Food Products Limited wa miaka miwili, udhamini wa maji ya kunywa kwa misimu miwili mfululizo.

Hizi ni jitihada za viongozi wa klabu hii kuhakikisha Singida United inasonga mbele katika maendeleo ya mpira wa miguu.


Pichani ni makabidhiano ya mkataba kati ya Mkurugenzi wa Singida United Ndg. Festo Sanga(kushoto) akiwa na mmoja wa viongozi wa juu Ndg. Feisal (kulia) wa kiwanda cha Maji ya Uhai (Tazara).

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic