September 15, 2017



Azam FC imejiongezea pointi tatu muhimu katika Liigi Kuu Bara baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar, leo.

Shujaa wa Azam FC ni Mbaraka Yusuph aliyefunga bao pekee katika dakika ya 44 katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.




Mbaraka ambaye amejiunga na Azam FC akitokea Kagera Sugar, alimtungua kipa mkongwe Juma Kaseja na kuipa Azam FC pointi tatu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic