September 5, 2017


Katika hizi pea, ipi unaona ilikuwa kali au kali zaidi katika kikosi cha Man United.

Kumbuka Mark Hughes akiwa na Brian McClair au ile ya Dwight Yorke na Andy Cole?

Lakini hivi karibuni unakumbuka kuhusiana na kazi nzuri ya kizazi kipya cha Cristiano Ronaldo na Wayne Rooney ambayo alimaliza nayo kazi Ferguson?

Hivi karibuni wakati wa Jose Mourinho ilikuwa Zlatan Ibrahimovic na Anthony Martial na sasa ni Romelu Lukaku akiunganisha nguvu na Marcus Rashford.

Kwako wewe, pacha ipi inakuvutia zaidi? 


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic