September 24, 2017


Simba inaingia uwanjani hivi punde kuivaa Milambo FC katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

Kocha Joseph Omog amempa Jonas Mkude nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza katika mechi hiyo ya kirafiki kujiandaa na mechi dhidi ya Stand United katika mtiririko wa Ligi Kuu Bara.

KIKOSI:
1. Imanueli Mseja 
2. Jamal Mwambeleko 
3. Ally Shomary 
4. Salim Mbonde 
5. Yusuf Mlipili 
6. Jonas Mkude 
7. Mohamed Ibrahim 
8. Mzamiru Yassin 
9. Laudit Mavugo 
10. Juma Luizio 

11. Haruna Niyonzima

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic