September 24, 2017


Arsenal wamefanya mazoezi yake ya mwisho leo kabla ya kuivaa Wes Brom katika mechi ya Ligi Kuu England, kesho Jumatatu.

Wachezaji wake wote wakiwemo Alexis Sanchez na Mesut Ozil ambaye amerejea baada ya mazoezi wameonyesha wako tayari kwa ajili ya mechi hiyo.














0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic