September 13, 2017


Celtic imeingia matatani na Uefa baada ya shabiki wa Celtic kuvamia uwanjani wakati wa mechi na kutaka kumpiga mshambulizi mpya wa PSG, Kylian Mbappe.

Hata hivyo, shabiki huyo alimkosa Mbappe na kuanza kukimbia kutoka nje baadaye akakamatwa na walinzi.


Ilikuwa ni kipindi cha kwanza cha mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na wenyeji Celtic walipoteza kwa mabao 5-0.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic