September 13, 2017


Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi anaendelea vizuri baada ya kupata ‘ajali’ kwa kugongana na kocha wake.

Okwi amegongana na Kocha wake, Joseph Omog katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Uhuru.


Kwa msaada wa wenzake na Kocha Msaidizi, Jackson mayanja, Okwi alitolewa nje baada ya kuangaliwa na sasa imeelezwa hali yake inaendelea vizuri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic