September 26, 2017


Wadau mbalimbali wa soka nchini wamelipongeza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na kupata nafasi ya kuingia mkataba mzuri na Benki ya KCB.

TFF imeingia mkataba wa Sh milioni 325 na benki hiyo na utakuwa mkataba wa mwaka mmoja.

Wengi wa wadau waliotoa maoni yao katika SALEHJEMBE, wamesema ni mwanzo mzuri kwa TFF.


Lakini wengi pia wameitaka TFF kuwa na uwazi katika masuala yake ya mikataba ili kufanya mambo yake mengi kuwa wazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic