September 7, 2017




Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limewatangaza waamuzi watakaochezesha mechi kati ya Azam FC dhidi ya Simba, Jumamosi.

Waamuzi haoni Ludovic Charles wa Tabora ambaye atasaidiana na Ferdinand Chacha (Mwanza) Abdallah Mkomwa (Pwani) na Josephat Bulali atakayekuwa mezani.

Tayari mechi hiyo imekuwa gumzo, hii ni kutokana na Simba kuanza ligi kwa kazi kubwa.


Lakini kingine ni kutokana na Azam FC kuwa imeamua kufanya mabadiliko ikiwa ni pamoja na kuwaacha nyota wake zaidi ya watano.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic