October 8, 2017


Mshambuliaji nyota wa Simba, Emmanuel Okwi anatarajia kurejea nchini kesho na kuungana na wenzake.

Okwi aliondoka nchini kwenda Uganda ambako aliungana na kikosi cha timu ya taifa ya Uganda kwa ajili ya mechi ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia.

Katika mechi hiyo, Uganda ilifanikiwa kupata sare ya bila kufungana, mechi ambayo ilikuwa ngumu.

Maofisa wa Simba wamesema, Okwi atangana na wenzake kesho kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo.


Simba inatarajia kuivaa Mtibwa Sugar katika mechi ijayo ya Ligi Kuu Bara, mechi itakayopigwa Jumapili ijayo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic