October 6, 2017


Leo ni hukumu ya ile kesi anayotuhumiwa Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji kuhusiana na kutumia madawa ya kulevya.


Tayari Manji amewasili katika mahajama ya Kisutu kwa ajili ya zoezi la usomaji hukumu hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic