October 6, 2017

Dalili za Argentina kuikosa michuano ya Kombe la Dunia inanukia na hasa baada ya sare ya suluhu dhidi ya Peru licha ya kuwa nyumbani.

Nahodha wake, Lionel Messi naye yuko katika mkumbo huo wa nyota wanaoweza kuikosa michuano ya Kombe la Dunia mwakani nchini Russia na litakuwa jambo baya sana kwake.

Baada ya mechi 17, Argentina wana pointi 25, maana yake wanatakiwa kushinda mechi zote zilizobaki huku wakiomba timu kama Uruguay, Chile, Colombia na hata Peru na Paraguay ziboronge.



Argentina: Romero, Mercado, Mascherano, Otamendi, Acuna, Banega (Gago, 61 (Perez, 67), Biglia, Messi, Di Maria (Rigoni, 46), Alejandro Gomez, Benedetto
Subs: Guzman, Marchesin, Fazio, Pezzella, Icardi, Casco, Salvio, Paredes, Dybala
Booked: Biglia, Acuna 
Peru: Gallese, Corzo, Araujo, Rodriguez, Trauco, Tapia (Aquino, 78), Pena (Cartagena, 53), Yotun, Farfan (Polo, 72), Guerrero, Flores
Subs: Caceda, Santamaria, Gomez, Ruidiaz, Abram, Advincula,Reyna, Carvallo, Loyola
Booked: Farfan, Tapia, Guerrero 
















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic