October 6, 2017


Wachezaji wa Brazil akiwemo nahodha Neymar, walijikuta wakilazimika kuongezewa hewa ya ziada ili kurejea katika hali ya kawaida.

Hilo lilitokea wakati Brazil ikiivaa Bolivia katika eneo ambalo huwa na tatizo la hewa. Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bila kufungana.

Brazil imeishafuzu, lakini Bolivia imeishajiondoa kwa kuwa haijafuzu.





 Bolivia (3-4-3): Lampe; Valverde, Raldes, Gutierrez; Bejarano, Justiniano, Machado, Morales; Fierro, Arce, Martins 

Subs not used: Quinonez, Candia, Sagredo, Azogue, Vargas, Ortiz, Saucedo, Castro, Cuellar, Alvarez, Miranda, Cordano 
Brazil (4-3-3): Alisson; Dani Alves, Miranda, Thiago Silva (Marquinhos 28), Alex Sandro; Paulinho (Fernandinho 82), Casemiro, Renato Augusto; Coutinho (Willian 66), Gabriel Jesus, Neymar
Subs not used: Ederson, Danilo, Jemerson, Jorge, Diego Tardelli, Arthur, Firmino, Fred, Cassio









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic