October 3, 2017



Simba imefanya mazoezi leo mjini Dodoma ikijiandaa kuwavaa Dodoma FC katika mechi ya kirafiki itakayopigwa kesho Jumatano.

Azam TV itairusha mechi hiyo Mubasharaaaa kupitia Azam Sports 2 kupitia king'amuzi cha Azam TV.

Dodoma FC inashiriki Ligi Daraja la Kwanza na inanolewa na Jamhuri Kihwelo 'Julio' ambaye aliwajji kuwa Kocha wa Simba.

Julio anataka kuwaonyesha Simba yuko fiti na Simba nao wanataka kuonyesha ni wakubwa na mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu.


1 COMMENTS:

  1. Julio malaa aachane na soka mala arudii hana msimamo? Au hana pakula?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic