October 5, 2017


Mashabiki wameonekana kuwa na furaha kuu baada ya kuwaona nyota wa kikosi cha Taifa Stars hasa nahodha Mbwana Samatta na Simon Msuva.

Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji na Msuva ambaye sasa yuko Difaa Al Jadid ya Morocco ndiyo walionekana kuwavutia zaidi mashabiki waliokuwa katika Uwanja wa Boko Veterani ambako Stars inajifua.


Chini ya Kocha Salum Mayanga Stars inajivua kuivaa Malawi katika mechi ya kirafiki itakayopigwa Jumamosi.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic