October 18, 2017


Kocha Masoud Juma alitewahi kuifundisha Rayon Sports ya Rwanda anaweza kuwa mrithi wa Jackson Mayanja raia wa Uganda aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba.

Taarifa kutoka Simba zinaeleza, tayari kila kitu kati ya Simba na Juma raia wa Burundi kimekamilika.

“Kuna makocha kadhaa lakini yule wa Rayon kila kitu kimekamilika,” kilieleza chanzo.


Mayanja ameamua kuondoka Simba akidai kuwa ana matatizo ya kifamilia na uongozi wa Simba umempa ruhusa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic