Baada ya kuboronga katika Serie A, Juventus wameibuka katika Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuichapa Sporting Lisbon kwa mabao 2-1.
Mabao ya Juventus yamefungwa na Maralem Pijanic na Mario Mandzukic huku lile la Sporting likifungwa na Alex Sandro aliyejifunga.
0 COMMENTS:
Post a Comment