October 31, 2017


Mdau wa michezo, Hussein Iddi Balo amekabidhiwa Bajaj yake mpya aina TVS King nyumbani kwake Mbagala KIburugwa.

Hussein ameshinda Bajaj hiyo ya kisasa mpya baada ya kushiriki kubeti katika shindano la SHINDA NA SPORTPESA ambalo washindi 100 watapatikana na kila mmoja atajishindia Bajaj.


Baada ya kukabidhiwa ufunguo, Hussein alionyesha kweli yeye ni mtu anayeipenda familia yake baada ya kuamua kuukabidhi ufunguo wa Bajaj hiyo kwa mkewe.

Shinda la SHINDA NA SPORTPESA bado linaendelea na watu wametakiwa kutokeza na kubashiri  na Sportpesa ili wafaidike kwa kushinda fedha kwa kuwa kuna code za kijanja na pia kunufaika na zawadi hizo.

#shindanasportpesa #madeofwinners





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic