ROONEY AKIWA JUKWAANI, EVERTON YACHAPWA 1-0 NYUMBANI EUROPA LEAGUE, NGUMI ZAFURUMUKA Beki wa Eveton, William akisababisha vurugu kubwa wakati wa mechi ya Europa League dhidi ya Lyon ya Ufaransa. Mechi hiyo iliisha kwa wenyeji Everton kulala kwa bao 1-0 dhidi ya Lyon kutoka Ufaransa.
Jembe, Everton walisawazisha kupitia kwa Williams, akiunganisha mpira wa foul ulopigwa na sigurdson
ReplyDelete