SHINDANO LA STARTIMESA VIPAJI VYA SAUTI, ANGALIA NAMNA VIJANA WENGI WALIVYOJITOKEZA KUINGIZA Kampuni ya StarTimes Tanzania, jana Jumamosi na leo Jumapili, iliendesha zoezi la kusaka washiriki 10 kutoka jijini Dar, watakaoshiriki Shindano la Vipaji vya Sauti ambapo katika usaili huo, zaidi ya washiriki 2500 walijitokeza. Angalia picha zaidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment