October 31, 2017


Kuna Akaunti mpya wa Twitter inazunguka katika mitandao ya kijamii.
Akaunti hiyo yenye jina la Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeanza kutoa taarifa mbalimbali na kuchangia maoni kunakoelezwa kufanywa na Wallace Karia.

TFF tunatangaza kuwa hatuitambui akaunti hiyo. Rais Karia hajafungua akaunti ya Twitter.


Tunaomba wananchi wote hususani wanafamilia wa mpira wa miguu, kutoitambua akaunti hiyo kwa sababu si ridhaa ya Rais Karia wala Kitengo cha Habari TFF kilichofungua akaunti hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic