October 31, 2017


Al Ahly inahitaji safe tu ya bao 1-1 ili kuwa mabingwa wa Afrika dhidi ya Waydad Casablanca.

Lakini Al Ahly wameshindwa kufanya mazoezi baada ya mashabiki wao kuzidi idadi kwa wale wanaoruhusiwa kuingia mazoezini.

Hali hiyo ilisababisha wachezaji kutolewa uwanjani na mashabiki hao walivamia katikati ya uwanja na kuendelea kushangilia.

Al Ahly ndiyo timu yenye makombe mengi zaidi barani Afrika na duniani kote.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic