November 26, 2017


Baada ya kupita muda wa wiki na miezi kadhaa, hatimaye Arsenal imerejea katika nafasi nne za juu baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Burnley.

Arsenal imepata ushindi huo ambao ulipatikana dakika ya 90kwa njia ya penalti ambapo Alexis Sanchez alitupia wavuni na kuifanya timu hiyo sasa kufikisha pointi 25, hivyo kuwa nyuma kwa pointi 4 nyuma ya Manchester United inayoshika nafasi ya pili.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic