Klabu ya Azam FC, imeongeza nguvu katika safu yake ya ushambulizi baada ya kumsajili mshambuliaji Bernard Arthur kutoka nchini Ghana.
Arthur alikuwa mshambuliaji tegemeo wa Liberty Professional ya Ghana, timu iliyomkuza Michael Essien na kipa wa zamani wa Yanga, Yaw Berko.
Mshambuliaji huyo amesaini mkataba wa miaka miwili mbele ya msimamizi wake na bosi wa klabu ya Azam FC, Abdul Mohammed.
Mshambuliaji huyo amesaini mkataba wa miaka miwili mbele ya msimamizi wake na bosi wa klabu ya Azam FC, Abdul Mohammed.
0 COMMENTS:
Post a Comment