November 21, 2017


Chelsea imetua nchini Azerbaijan baada ya kusafiri kwa mail 2,456 kutoka jijini London.

Kikosi hicho cha vijana wa Antonio Conte kinatarajia kuwavaa wababe wa Azerbaijan, timu ya Qarabag. Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambayo kama Chelsea wanataka kusonga mbele lazima washinde, itapigwa kesho.

Chelsea inalazimika kushinda mechi hiyo licha ya urefu wa safari hiyo ya takribani saw 5 na nusu.

Kawaida safari nchini kwa nchi za Ulaya hula angalau saa tatu na nusu.


Kocha Antonio Conte amesema kikosi chake kimejiandaa vilivyo.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic