Mshambuliaji Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa alipiga mabao matatu, hat trick na kuweza kufikisha mabao 6 yaliyomvuta hadi nafasi ya pili kwa wafungaji wa Ligi Kuu Bara.
Lakini anayeongoza katika msimamo huo ni Mganda, Emmanuel Okwi ambaye amefunga mabao 8.
0 COMMENTS:
Post a Comment