November 6, 2017


Mshambuliaji kinda wa Barcelona, Ousmane Dembele atakuwa fiti kuivaa Real Madrid katika mechi ya El Clasico mwezi ujao.

Imeelezwa maendeleo ya Dembele ni mazuri na anaonekana tapona haraka kuliko ilivyotarajiwa.

Dembele alijiunga na Barcelona akitokea Dortmund lakini hakuwezo kuonyesha cheche baada ya kuumia mapema tu kayika mechi dhidi ya Getafe.


El Clasico itapigwa Desemba 23 kabla ya Krismasi na mshindi atakuwa na nafasi nzuri ya kusherekea kwa raha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic