November 6, 2017


Mwendo wa Lionel Messi kati La Liga unaonekana kama hana mpinzani kuwania tuzo ya mfungaji bora wa livi hiyo maarufu kama Pichichi.

Messi tayari amefunga mabao 12 ambayo ukiyajumlisha unapt watu maarufu wakiwemo Cristiano Ronaldo, Karim Benzema na Gareth Bale wanaounda BBC ambao wamfunga mabao manne tu.

Pamoja na wao,  washambulizi wengine nyota wa Atletico Madrid kama Antoinne Griezmann na Kevin Gameiro  wamefunga mabao matatu kama ilivyo kwa Luis Suarez wa Barcelona na Ben Yedder ambao ukijumlisha ndiyo unapata mabao ya Messi.


Mjadala ulionekana ni umame wa mabao kwa Ronaldo lakini sasa inaonekana Messi anasepa na kijiji kwa ufungaji.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic