November 3, 2017


Beki Patrice Evra ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kulambwa kadi nyekundu hata kabla ya mechi kuanza katika michuano ya Eurpa League.

Evra beki wa zamani wa Man United ambaye anakipiga na Marseille alikuwa akijiandaa na mechi dhidi ya Vitoria de Guimaraes, wakati akipasha alimrukia teke shabiki.

Shabiki huyo alimtolea Evra maneno ya shombo na kusababisha ashindwe kujizuia na kwenda kumrukia teke jambo ambalo lilifanya mwamuzi amtoe kwa kadi nyekundu hata kabla ya mechi.

Vitoria de Guimaraes walishinda bao 1-0 dhidi ya timu hiyo ya Evra ambaye alikuwa jukwaani.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic