November 21, 2017


Taswira bamna kikosi cha Yanga kilivyofanya mazoezi yake kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo.

Yanga ndiyo mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara wanaoshika nafasi ya tatu baada ya mechi 10 nyuma ya vinara Simba na Azam FC walio katika nafasi ya pili.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic