November 4, 2017



Kocha wa Mbeya City, Mrundi Nsanzulwimo Ramadhani ameongoza mazoezi ya vijana wake kwenye Uwanja wa Sokoine kabla ya kuivaa Simba, kesho.

Mazoezi hayo kwa Mbeya City inayodhaminiwa na Bin Slum Tyres kupitia betri za magari za RB, yatakuwa ni ya mwisho kabla ya kuingia uwanjani kesho.

Wachezaji wa Mbeya City, watapumzika jioni ya leo kujiandaa na Simba kesho.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic