November 10, 2017








Upasuaji wa goti aliofanyiwa nahodha wa Taifa Stars, MBwana Samatta umekuwa wa mafanikio.

Samatta aliumia goti wakati akiichezea timu yake ya KRC Genk wiki iliyopita katika mechi ya Ligi Kuu Ublegiji dhidi ya Lokeren.

Alitolewa nje katika dakika ya 40 baada ya kuumia na matokeo ya mwisho yakawa sare ya 0-0.

Sasa Samatta analazimika kupumzika kwa wiki sita akisubiri kuanza mazoezi tena.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic