November 12, 2017




Baada ya sare bao 1-1 ugenini, Tanzania inaweza kupanda katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

Tanzania iko katika nafasi ya 136 katika viwango vya ubora vya Fifa.

Kabla ya hapo, Tanzania iliporomoka kwa nafasi 11 katika ubora wa viwango vya Fifa.

Sare ya ugenini inaweza kuisadia Tanzania kupanda ingawa si kwa zaidi ya nafasi tatu.

Taifa Stars imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Benin.


Ilikuwa ni mechi ya kirafiki iliyochezwa mjini Cotonou na Stars ilisawazisha kupitia Elius Maguri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic