November 12, 2017



Baada ya ziara ya Katavi na Sumbawanga ambako ilicheza mechi mbili za kirafiki, Simba imerejea jijini Mbeya.

Simba imerejea Mbeya leo na inatarajia kuanza mazoezi kesho kujiwinda dhidi ya Prisons.

Prisons itakuwa mwenye wa Simba kwenye wa Sokoine Mbeya katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Jumamosi ijayo.


Baada ya Simba kucheza na Mbeya City na kushinda kwa bao 1-0, ilifunga safari kwenda Katavi na Sumbawanga kucheza mechi za kirafiki pia kukutana na mashabiki wake katika eneo hilo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic