November 2, 2017


Uwanja wa Namfua uko katika maandalizi ya mwisho kabla ya mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara.

Mechi hiyo inawakutanisha Yanga dhidi ya Singida United na kupigwa keshokutwa Jumamosi na uongozi wa uwanja huo umekuwa ukisimamia zoezi la umwagiliziaji.

Uwanja huo, utatumika katika mechi hiyo ya kwanza lakini unaonekana kuboreshwa zaidi na tayari kuchezwa.


Lakini inaonekana una nafuu kubwa na unaweza kuchezewa ingawa ubora wake hauwezi kuwa katika kiwango cha kusifia.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic