November 7, 2017



Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi leo jijini Dar es Salaam kikiwakosa nyota wake wanane.

Nyota ambao wamekosekana Yanga ni pamoja na mjeruhi watatu ambao ni Wazimbabwe Thabani Kamusoko na Donald Ngoma pamoja na Mrundi, Amissi Tambwe.

Lakini imewakosa wachezaji wake watano walioitwa katika timu za taifa kubwa na ile ya vijana.

Walioitwa katika timu ya taifa, Taifa Stars ni Ramadhani Kabwili, Kelvin Yondani, Gadiel Michael, Raphael Daud na Ibrahim Ajibu Migomba.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic