December 11, 2017



Uongozi wa Majimaji umemtoa kwa mkopo mshambuliaji wake, Danny Mrwanda katika Klabu ya JKT Mlale inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara.

Mshambuliaji huyo ataitumikia JKT Mlale  mpaka mwishoni mwa msimu. 

Meneja wa Majimaji inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Michezo, Sokabet, Godfrey Mvula, alisema walikubaliana na mchezaji huyo, ndiyo maana akaondoka.


“Ni mchezaji pekee ambaye ametoka ndani ya kikosi chetu na  kesho Jumatatu tunaweza kusajili wachezaji watatu,” alisema Mvula.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic