December 12, 2017


Imebainika wachezaji wa Manchester United na wale wa Manchester City walizichapa ile mbaya baada ya mechi yao Jumapili.

Katika mechi hiyo, licha ya kutangulia kufunga, Man United walilala kwa mabao 2-1.

Baada ya mechi, wakati wakirejea vyumbani, wachezaji hao walitwangana na inaelezwa kocha msaidizi wa Man City, Mike Arteta alipasuliwa katika paji la uso.


Kocha wa Man United, Jose Mourinho alivamia katika chumba cha Man City baada ya kupigwa chupa akimtuhumu mmoja wa wachezaji wa City.


1 COMMENTS:

  1. Waandishi wa habari waache kuzisifu simba na yanga waangalie wanavyohenyeshwa na timu kama lipuli, mbao,ndio maana tunaona usajili wa mamilioni sawa na usajili wa lipuli wa malaki. Tanzania kwa michezo tuko nyuma sana au hatupo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic