December 12, 2017



Simba kuamua kumuacha beki wake, Method Mwanjale kumezua mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka.

Mashabiki mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii, wengine wakiamini haikuwa sahihi kumuacha.

Simba imeamua kumuacha Mwanjale raia wa Zimbabwe kutokana na kuwa majeruhi mara kwa mara.

Baadhi ya wadau wanaamini, Mwanajale ni bora kutokana na uzoefu wake na angekuwa msaada mkubwa kwa Simba kama ambavyo amekuwa akifanya.

Lakini wengine wanaona ni sahihi kwa kuwa kuacha nafasi kwa wachezaji wenye msaada zaidi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic