December 15, 2017



Kamati ya usajili ya Simba imekutana tena kwa mara nyingine kutaka kupata uhakika kuhusiana na uhakiki wa beki Asante Kwasi.
Simba iko katika hatua za mwisho kumalizana na beki huyo lakini imekuwa ikitaka kupata uhakika kuhusiana na usajili wake Lipuli.

Kutokana na Lipuli FC kuwa inalalamika kuhusiana na mchezaji huyo, kamati hiyo imeamua kujiridhisha.

“Kamati imeamua kujiridhisha ili kupata uhakika maana Simba safari hii wanaonekana hawataki matatizo,” kilieleza chanzo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic